ABOUT US
Green health consultation center tunahusika na utoaji huduma ya ushauri nasaha pamoja na matibabu ya magonjwa mbalimbali kwa kutumia dawa Asili.Anuani ya Ofisi yetu ni Dar-es-salam Mtaa wa Magore jengo la Amverton office,
PIa unaweza kuwasiliana nasi kwa kutuma ujumbe kupitia kisehemu cha contact us katika menu ya blog au mawasiliano zaidi +255623026602,+255746465095
Karibu sana tuwahudumie